VIWANJA VYA NANENANE KATIKA BANDA LA HALMASHAURI YA NZEGA .
jua lilipokuwa likizama siku ya Ijumaa jioni .
HIVI NI VIAZI VYEKUNDU
ni moja ya vyakula vyenye thamani kubwa katika miili yetu,kwani hupunguza uwezekano wa kupata Saratani ,pia kusafisha figo na shughuli nyingine muhimu katika mwili wako. karibuni Banda la NzegaDC nanenane Agost 2019.
pilipili hoho
zao la kiazi chekundu
kiazi chekundu katika kitaru katika ubora wake na tayari kwa kuvunwa.
No comments:
Post a Comment